Mnara wa kura Tatu za Uhuru, Mkoani Tabora kama unavyoonekana katika picha, baadhi ya Wafanyabiashara wakiwa wameuzingira kwa Biashara Zao
Hapa Mnara ukionekana kwa upande Mwingine
Wanamuziki wa Ngoma za Asili za Maswezi wakiwa katika Onyesho lililofanyika Hivi Karibuni Mkoani Tabora.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mkoani Tabora wakicheza Ngoma Za Asili
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mh. Abeid Mwinyi Musa, akiwasili kwenye Maonyesho ya Ngoma za Asili
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mh. Abeid Mwinyi Musa, akiwasili kwenye Maonyesho ya Ngoma za Asili
Baadhi ya Wasanii wa Ngoma za Asili wakiwa kwenye Onyesho hilo
Msanii wa Ngoma za Asili Ally Mango, akiwa kwenye Tamasha la Asili la Pili Mkoani Tabora
Wasanii wa Ngoma za Asili wakiwa katika Onyesho
Msanii wa Ngoma za Asili Ally Mango, akiwa kwenye Tamasha la Asili la Pili Mkoani Tabora
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Abeid Mwinyi Musa akiangalia Vyakula vya Asili vinavyopatikana kwenye Mkoa Huo
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh, Abeid Mwinyi Mussa, (kati) akiwa na Viongozi wa Mkoa na waandaaji wa Onyesho Hilo
Msanii wa Ngoma za Asili Ally Mango, akionyesha Umahili wake katika Kucheza na Nyoka katika Onyesho lililomalizika Hivi Karibuni Mkoani Tabora.
Msanii wa Ngoma za Asili Ras Ban, akiwa katika Onyesho hilo.
Msanii wa Ngoma za Asili Ras Ban.
Wasanii wa Ngoma ya Radu ya Kabila la Kinyamwezi, wakiwa katika Onyesho la Pili la Tamasha la Mtemi Milambo(Picha Zote na Shaaban Mpalule)
No comments:
Post a Comment