Mkurugenzi wa Chief Promotions, Amon Mkoga na Meneja wa Kinywaji cha Balimi Edith Bebwa, wakionyesha Picha za wasanii wa Tamasha la Mtemi Milambo
Wasanii wa Ngoma za Asili kutoka Wilaya ya Sikonge, Mwanamkonko(kulia) akiongoza kuchezea Nyoka katika Tamasha la Pili la Mtemi Milambo
Umati wa Watu waliofurika Katika Moja ya Tamasha la Mtemi Milambo Mkoani Tabora Hivi Karibuni(Picha Zote na Shaaban Mpalule).
No comments:
Post a Comment